Semina ya hukumu za zaka

Semina ya hukumu za zaka
1627

Mtume amesema (Ikiwa Mwenyezi Mungu anataka kumfanyia mtu mema, humfanya afahamu dini hiyo)

Kujua hukumu za zaka kwa picha:

 Waweza kuishiriki bure katika semina hii.

Muda wa semina:siku 9 zimegawika kwa masomo 9 fupi kila somo lina video fupi na somo lililoandikwa

Utaratibu wa Kujiunga na Semina

 Kujisajili kimtandao kwenye Link 

Kujisajili kimtandao kwenye Telegram - Apps on Google Play

Kufaidika na mada za Semina na kujifunza

Kujibu maswali ya mtihani kwa njia ya kimtandao

Kupokea Shahada inayo kubalika ya kufuzu semina inayo tolewa na tovuti ya fiqh ya ibada kwa njia ya Picha na space chanels

Mada za Semina: Ni video 9 pamoja na kila video kuna somo limeandikwa

Mada za Semina: Fiqhi ya zaka kwa picha ina kusanya yafuatayo