Semina ya hukumu za Swala kwa njia ya picha

semina ya Fiqhi ya swalah kwa njia ya picha
3987
 

Mtume amesema (Ikiwa Mwenyezi Mungu anataka kumfanyia mtu mema, humfanya afahamu dini hiyo)

Kujua hukumu za swalah kwa picha:

 Waweza kuishiriki bure katika semina hii.

Muda wa semina:siku 10 zimegawika kwa masomo 19 fupi kila somo lina video fupi na somo lililoandikwa

Utaratibu wa Kujiunga na Semina

 Kujisajili kimtandao kwenye Link 

Kujisajili kimtandao kwenye Telegram - Apps on Google Play

Kufaidika na mada za Semina na kujifunza

Kujibu maswali ya mtihani kwa njia ya kimtandao

Kupokea Shahada inayo kubalika ya kufuzu semina inayo tolewa na tovuti ya fiqh ya ibada kwa njia ya Picha na space chanels

Mada za Semina: Ni video 19 pamoja na kila video kuna somo limeandikwa

Mada za Semina: Fiqhi ya swalah kwa picha ina kusanya yafuatayo