Nayo ni yanayosalia chomboni baada ya kunywewa.
Nayo ni yanayosalia chomboni baada ya kunywewa.
Asili makombo ni utwahara isipokuwa yale ambayo kuna dalili ya kuwa ni najisi, kama yanayofuata:
Kwa hadithi iliyoyhibiti kwamba Mtume (s.a.w) alikuwa akinywa makombo ya Aishah na hali Aishah yuko katika hedhi, na akiweka kinywa chake mahali Aishah alipoweka kinywa chake [Imepokewa na Muslim.].
Kwa kauli yake Mtume (s.a.w) kuhusu paka aliyekunywa kutoka kwenye chombo: (Yeye si najisi, yeye ni miongoni mwa Wanaowazunguka na kuwa nanyi, wa kiume na wa kike) [ Imepokewa na Tirmidh.].
Ni utwahara, kwa kuwa asili ya vitu ni utwahara, na hakuna dalili ya kuwa ni najisi, na kwa kuwa Mtume (s.a.w) alikuwa akipanda punda na walikuwa wanapandwa wakati wake.
Kwa kauli yake Mtume (s.a.w) Kutwahirisha kwa chombo cha mmoja wenu, kikirambwa na mbwa, ni akioshe mara saba, ya kwanza yake iwe kwa mchanga [Imepokewa na Bukhari na Muslim].
Makombo ya nguruwe ni najisi kwa neno lake mwenyezi mugnu au nyama ya nguruwe kwani hiyo ni uchmfu} [6: 145].
Yaani najisi, nachochoe kinacho tokama na nguruwe ni najisi
Mwanadamu ni utwahara, sawa awe ni muislamu, kwa neno lake mtume (s.a.w) {Hakika mu’min hanijisiki} [ Imepokewa na Bukhari na Muslim]
ao kafiri, kwa ilivo thubutu kuwa Mtume (s.a.w) alitawadha kwa chombo cha mushrik, ama neno lake mwenyezi Mungu { Hakika mushrikina ni najisi} [9: 28]
makusudio ni najisi ya